Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 5
  • Hezekia Alithawabishwa kwa Sababu ya Imani Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hezekia Alithawabishwa kwa Sababu ya Imani Yake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
  • Malaika wa Yehova Alimlinda Hezekia
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • “Usiogope. Mimi Mwenyewe Nitakusaidia”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Mungu Anamsaidia Mfalme Hezekia
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 34-37

Hezekia Alithawabishwa kwa Sababu ya Imani Yake

Rabshake na watu wake wakiwa nje ya kuta za Yerusalemu

Mfalme Senakeribu wa Ashuru alimtuma Rabshake Yerusalemu akawaambie watu wa jiji hilo wasalimu amri. Waashuru walitoa hoja mbalimbali za kuwafanya Wayahudi wasalimu amri bila kupigana.

  • Askari-jeshi Waashuru nje ya kuta za Yerusalemu

    Hakuna atakayewasaidia. Misri haitawasaidia.—Isa 36:6

  • Watu wakiwa na shaka

    Shaka. Yehova hatawapigania kwa sababu mmemuudhi.—Isa 36:7, 10

  • Jeshi la Ashuru

    Vitisho. Hamwezi kulishinda jeshi lenye nguvu la Waashuru.—Isa 36:8, 9

  • Nyumba kubwa na shamba la nafaka

    Vishawishi. Kujisalimisha kwa Waashuru kutaboresha maisha yenu.—Isa 36:16, 17

Hezekia alikuwa na imani thabiti katika Yehova

37:1, 2, 14-20, 36

  • Alifanya yote awezayo kutayarisha jiji kwa ajili ya kuzingirwa

  • Alimwomba Yehova awakomboe na aliwatia moyo watu wafanye hivyo pia

  • Imani yake ilithawabishwa Yehova alipomtuma malaika na kuwaua mashujaa 185,000 wa Ashuru katika usiku mmoja

    Hezekia akisali na malaika akiwa ameshika upanga
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki