Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 7
  • Yehova Ni Mungu wa Unabii wa Kweli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Ni Mungu wa Unabii wa Kweli
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • 5. Unabii Uliotimizwa
    Amkeni!—2007
  • Yehova—“Mungu Mwenye Haki, Mwokozi”
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
  • Koreshi Mkuu
    Amkeni!—2013
  • Kitabu Cha Unabii
    Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 43-46

Yehova Ni Mungu wa Unabii wa Kweli

Makala Iliyochapishwa
Mfuatano wa miaka 200​—kuanzia wakati wa unabii wa Isaya hadi shambulizi la Babiloni
Mfalme Koreshi

Miaka 200 hivi kabla ya Babiloni kuanguka, Yehova alimpa Isaya unabii uliokuwa na habari hususa kuhusu mambo yatakayotokea.

44:27–45:2

  • Koreshi ndiye angeshinda jiji la Babiloni

  • Milango yenye pande mbili ya jiji ingeachwa wazi

  • Mto Efrati, sehemu kuu ya mfumo wa ulinzi wa jiji, ‘ungekaushwa’

Askari-jeshi wakitembea ndani ya Mto Efrati uliokaushwa
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki