Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Agosti uku. 5
  • Mlinzi Ana Daraka Zito

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mlinzi Ana Daraka Zito
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Wakati wa Kuwapo kwa Mlinzi kama Ezekieli
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • “Nimekuweka Kuwa Mlinzi”
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Sikiliza—Mlinzi wa Yehova Anena!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Agosti uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | EZEKIELI 32-​34

Mlinzi Ana Daraka Zito

Mara nyingi walinzi walisimama kwenye kuta za jiji na kwenye minara ili kutoa onyo kunapokuwa na hatari. Yehova alimweka rasmi Ezekieli kwa njia ya mfano awe “mlinzi wa nyumba ya Israeli.”

Mlinzi akiwa juu ya ukuta wa jiji
  • Mlinzi akitoa onyo

    33:7

    Ezekieli aliwaonya Waisraeli kwamba wangeharibiwa ikiwa hawangegeuka kutoka kwenye njia zao mbaya

    Leo tunatangaza ujumbe gani kutoka kwa Yehova?

  • Askari wakishambulia kwa sababu mlinzi hakutoa onyo

    33:​9, 14-​16

    Kwa kutoa onyo, Ezekieli angeweza kuokoa uhai wake na uhai wa wengine

    Ni nini kinachopaswa kutuchochea kutangaza ujumbe wa haraka ambao Yehova ametukabidhi?

Juma hili nitajaribu kumhubiria . . .

  • mwanafunzi mwenzangu

  • mfanyakazi mwenzangu

  • mtu wa familia ambaye si mwamini

  • mtu mwingine:

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki