Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Agosti uku. 6
  • Gogu wa Magogu Ataharibiwa Hivi Karibuni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Gogu wa Magogu Ataharibiwa Hivi Karibuni
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • “Niko Dhidi Yako, Ewe Gogu”
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
  • Kupata Shangwe ya Ushindi Katika “Siku za Mwisho”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Simameni, Mkauone Wokovu wa Yehova!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Agosti uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | EZEKIELI 35-​38

Gogu wa Magogu Ataharibiwa Hivi Karibuni

Biblia inafafanua matukio yatakayotokea kabla na baada ya Gogu wa Magogu kuharibiwa.

  • Kuharibiwa kwa Babiloni Mkubwa

    Ufu 17:​16-18

    Dhiki kuu itaanza na kuharibiwa kwa kitu gani?

  • Majeshi ya Gogu wa Magogu wakijitayarisha kushambulia watu wa Mungu

    Eze 38:​2, 11, 15

    Watu wa Yehova watashambuliwa na nani?

  • Jua likiangaza duniani

    Ufu 16:16

    Yehova ataharibu Gogu wa Magogu katika vita gani?

  • Kristo akiwa kwenye kiti chake cha ufalme mbinguni

    Ufu 20:4

    Kristo atatawala kwa muda gani?

Ninaweza kujitayarishaje kiroho kwa ajili ya shambulio la Gogu wa Magogu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki