Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Aprili uku. 2
  • Pasaka na Ukumbusho​—Zina Ulinganifu Gani? Zinatofautianaje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pasaka na Ukumbusho​—Zina Ulinganifu Gani? Zinatofautianaje?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • “Siku Hii Itakuwa Ukumbusho Kwenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Ni Nini Maana ya Pasaka?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Kutoka Sederi Hadi Kwenye Wokovu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • “Kondoo Wengine” na Chakula cha Jioni cha Bwana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Aprili uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 26

Pasaka na Ukumbusho—Zina Ulinganifu Gani? Zinatofautianaje?

26:18

Kondoo wa Pasaka, mkate usio na chachu, mboga chungu, na divai

Tambua vitu vilivyoorodheshwa kwa namba

1

2

3

4

Kati ya vitu hivyo, ni vingapi vinavyotumika pia katika Mlo wa Jioni wa Bwana?

JE, ULIJUA?

Ingawa Pasaka haikuwakilisha Ukumbusho, mambo fulani ya Pasaka yana umuhimu kwetu. Kwa mfano, mtume Paulo alimwita Yesu “mwanakondoo wetu wa Pasaka.” (1Ko 5:7) Kama tu damu ya mwanakondoo iliyopakwa kwenye miimo ya mlango ilivyookoa uhai, ndivyo damu ya Yesu inavyookoa uhai. (Kut 12:12, 13) Pia, hakuna mfupa wa mwanakondoo wa Pasaka uliovunjwa. Vivyo hivyo, Yesu hakuvunjwa mfupa wowote, ingawa ilikuwa desturi ya wakati huo kuvunja mifupa ya watu waliotundikwa.—Kut 12:46; Yoh 19:31-33, 36.

Yesu akianzisha Mlo wa Jioni wa Bwana
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki