Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Juni uku. 5
  • Vijana​—Je, Mnaendelea Kukua Kiroho?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vijana​—Je, Mnaendelea Kukua Kiroho?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Wewe Ni Mtu wa Kimwili au Mtu wa Kiroho?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Tuna Hazina za Kuwagawia Wengine
    Huduma Yetu ya Ufalme—2008
  • Jitahidi Kufikia Kazi Njema
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Kusaidia Mtoto Akue Katika Hekima ya Kutii Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Juni uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 2-3

Vijana​—Je, Mnaendelea Kukua Kiroho?

Tangu utotoni, Yesu aliweka mfano mzuri wa kutanguliza mambo ya kiroho na kuwaheshimu wazazi wake

Vijana, mnaweza kumwigaje Yesu katika njia zifuatazo?

  • 2:41, 42

    Yesu akiwa kijana anasafiri na familia yao kwenda Yerusalemu kwa ajili ya Pasaka

    Kushiriki katika utendaji wa kiroho

  • 2:46, 47

    Yesu akiwa na umri wa miaka 12 pamoja na walimu hekaluni

    Kujifunza mengi zaidi kumhusu Yehova na Biblia

  • 2:51, 52

    Yesu akiwaonyesha wazazi wake heshima

    Kuwaheshimu wazazi wako

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki