Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Julai uku. 8
  • Kwa Nini Kutounga Mkono Upande Wowote Ni Muhimu? (Mik 4:2)

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kwa Nini Kutounga Mkono Upande Wowote Ni Muhimu? (Mik 4:2)
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Inamaanisha Nini Kutounga Mkono Upande Wowote
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Dumisha Msimamo wa Kikristo Katika Ulimwengu Uliogawanyika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • “Wao Si Sehemu ya Ulimwengu”
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
  • Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Hawajihusishi na Siasa?
    Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi Kuhusu Mashahidi wa Yehova
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Julai uku. 8
Mashahidi wa rangi tofauti wakisalimiana nje ya Jumba la Ufalme

MAISHA YA MKRISTO

Kwa Nini Kutounga Mkono Upande Wowote Ni Muhimu? (Mik 4:2)

Mfano wa Msamaria mwema unatukumbusha kwamba Yehova hana ubaguzi na anataka “tuwatendee watu wote mema”—kutia ndani watu walio na hali ya kiuchumi, rangi, kabila, taifa, au dini tofauti na yetu.—Gal 6:10; Mdo 10:34.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA KWA NINI KUTOUNGA MKONO UPANDE WOWOTE NI MUHIMU? (MIK 4:2), KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Tunajuaje kwamba Mika 4:2 inafafanua mambo yanayotukia kati ya watu wa Mungu leo?

  • Kutounga mkono upande wowote kunamaanisha nini, na kwa nini ni muhimu?

  • Andiko la Ufunuo 13:16, 17 linaonyeshaje kwamba mfumo wa kisiasa unajaribu kuathiri kufikiri kwetu na matendo yetu?

Mwandishi wa habari; mchezo wa mpira; mwanasiasa

Ni mambo gani matatu yanayoweza kudhoofisha azimio letu la kutounga mkono upande wowote?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki