Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Novemba uku. 4
  • Waliendelea Kutangaza Neno la Mungu kwa Ujasiri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Waliendelea Kutangaza Neno la Mungu kwa Ujasiri
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Mwalimu, Ufundishaji
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Yesu Kristo
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Yesu Aliwapenda Watu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Vichwa vya Mazungumzo ya Biblia
    Vichwa vya Mazungumzo ya Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Novemba uku. 4
Petro na Yohana wakiongea kwa ujasiri mbele ya kuhani mkuu na wengine

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATENDO 4-5

Waliendelea Kutangaza Neno la Mungu kwa Ujasiri

4:5-13, 18-20, 23-31

Ni nini kilichofanya mitume wastahili kuwa walimu? Ni nini kilichowawezesha kuzungumza kwa ujasiri na uhakika? “Walikuwa pamoja na Yesu,” Mwalimu Mkuu, na walijifunza kutoka kwake. (Mdo 4:13) Tunajifunza masomo gani kutoka kwa Yesu ambayo yanaweza kutusaidia kuwa wahudumu wenye matokeo?

Patanisha maandiko yafuatayo na masomo tunayojifunza.

MAANDIKO

SOMO

  • Mt 6:33; Mk 6:31-34

  • Mt 10:18-20; 21:23-27

  • Mt 21:15, 16; Yoh 7:16

  • Mt 21:22; Lu 22:39-41

  • Mtegemee Yehova

  • Fundisha kwa kutegemea Maandiko

  • Usiwaruhusu wengine wakutishe

  • Tanguliza huduma badala ya mapendezi ya kibinafsi

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki