Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Desemba uku. 5
  • Msifu Yehova kwa Shangwe Kupitia Nyimbo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msifu Yehova kwa Shangwe Kupitia Nyimbo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Mwimbie Yehova Sifa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Nyimbo za Ufalme Zinatutia Moyo Tuwe na Ujasiri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Nyimbo Mpya za Ibada!
    Huduma Yetu ya Ufalme—2014
  • Dokezo la Kujifunza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Desemba uku. 5
Uwe Rafiki ya Yehova Wimbo 84: Tumejitoa Kutumikia

MAISHA YA MKRISTO

Msifu Yehova kwa Shangwe Kupitia Nyimbo

Paulo na Sila walimsifu Yehova kupitia nyimbo walipokuwa gerezani. (Mdo 16:25) Hakuna shaka kwamba kuimba kuliwaimarisha na kuwasaidia kuvumilia. Namna gani sisi leo? Nyimbo tunazotumia katika ibada na nyimbo zilizotungwa zinaweza kututia moyo na kutusaidia kuendelea kuwa waaminifu tunapojaribiwa. Zaidi ya hayo, nyimbo hizo zinamsifu Yehova. (Zb 28:7) Tumetiwa moyo kukariri maneno ya baadhi ya nyimbo hizo. Umejaribu kufanya hivyo? Tunaweza kutumia ibada ya familia kujizoeza nyimbo na kujifunza maneno yake.

TAZAMENI VIDEO WATOTO WAMSIFU YEHOVA KUPITIA NYIMBO, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Wasichana wawili wakiimba katika studio

    Kuimba kunakuwa na matokeo gani mazuri juu yetu?

  • Dada akiwatayarisha kabla ya watoto kuingia kuimba

    Idara za Kurekodi Sauti na Video hufanya matayarisho gani ili kurekodi nyimbo?

  • Familia ikiimba wakati wa ibada ya familia

    Ni matayarisho gani ambayo watoto na familia zao hufanya ili kurekodi?

  • Watoto wakiimba

    Unapenda nyimbo zipi za Ufalme, na kwa nini?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki