Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Juni uku. 2
  • “Tukio la Mfano” Linalotuelimisha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Tukio la Mfano” Linalotuelimisha
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • “Tukio la Mfano” Ambalo Ni Muhimu Kwetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Agano la Mungu Pamoja na “Rafiki” Yake Tayari Lafaidi Mamilioni
    Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
  • Mtakuwa “Ufalme wa Makuhani”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Agano
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Juni uku. 2
Hagari na Sara​—nyuma dhabihu zinatolewa hekaluni; wanafunzi wakihubiri; wanafunzi wakisikiliza kitabu cha kukunjwa kinaposomwa

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAGALATIA 4-6

“Tukio la Mfano” Linalotuelimisha

4:24-31

Mtume Paulo alitumia ‘tukio hili la mfano’ kuonyesha ubora wa agano jipya kwa kulinganishwa na Agano la Sheria. Chini ya uangalizi wa Kristo na warithi wenzake, wanadamu wote wana taraja la kuwekwa huru kutokana na dhambi, kutokamilika, huzuni, na kifo.—Isa 25:8, 9.

HAGARI​—YULE KIJAKAZI

Taifa halisi la Israeli chini ya agano la Sheria, Yerusalemu lilikuwa mji mkuu

SARA​—YULE MWANAMKE HURU

Yerusalemu la juu, sehemu ya kimbingu ya tengenezo la Mungu

“WATOTO” WA HAGARI

Wayahudi (wakiwa wameunganishwa na Yehova kupitia agano la Sheria) walimnyanyasa na kumkataa Yesu

“WATOTO” WA SARA

Kristo na wale Wakristo 144,000 waliotiwa mafuta kwa roho takatifu

WATUMWA WA AGANO LA SHERIA

Sheria iliwakumbusha Waisraeli kwamba walikuwa watumwa wa dhambi

AGANO JIPYA LINAANDAA UHURU

Imani katika thamani ya dhabihu ya Kristo ilifanya wapate uhuru kutoka kwa hukumu ya Sheria

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki