Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Juni uku. 3
  • Mpango wa Usimamizi wa Yehova na Kazi Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mpango wa Usimamizi wa Yehova na Kazi Yake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • “Yehova Mmoja” Anaikusanya Familia Yake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Waabudu Walioungana wa Mungu wa Kweli Mmoja Tu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Mtazamo wa Kungojea Unatusaidia Kuvumilia
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Usimamizi wa Kutimiza Kusudi la Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Juni uku. 3
Kiti cha ufalme cha Yehova

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAEFESO 1-3

Mpango wa Usimamizi wa Yehova na Kazi Yake

1:8-10

Usimamizi wa Yehova ni mpango wa kuwaunganisha viumbe wake wote wenye akili.

  • Unawatayarisha watiwa-mafuta kwa ajili ya kuishi mbinguni pamoja Yesu Kristo akiwa Kichwa chao cha kiroho

  • Unawatayarisha wale watakaoishi duniani chini ya Ufalme wa Kimasihi

Ni katika njia zipi ninaweza kuchangia umoja wa tengenezo la Yehova?

Dada wawili wa rangi tofauti wakihubiri pamoja; mvulana na baba yake wakimsalimu ndugu mwenye umri mkubwa katika Jumba la Ufalme; mume akimsikiliza mke wake kwa makini
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki