Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 2
  • Uvueni Utu wa Zamani, na Mjivike Utu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uvueni Utu wa Zamani, na Mjivike Utu Mpya
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza ‘Kuvua Utu wa Zamani’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • “Neno la Mungu Li Hai, Tena Lina Nguvu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Endelea Kuvaa “Utu Mpya” Baada ya Kubatizwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Unataka Kuwa Mtu wa Aina Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAKOLOSAI 1-4

Uvueni Utu wa Zamani, na Mjivike Utu Mpya

3:5-14

Dada akitafakari baada ya kusoma kitabu Mkaribie Yehova akiwa na Biblia yake

Je, ulifanya mabadiliko makubwa katika utu wako ulipojifunza kweli? Unaweza kuwa na uhakika kwamba Yehova alifurahishwa na jitihada zako. (Eze 33:11) Hata hivyo, unahitaji kuendelea kujitahidi kuzuia mazoea ya utu wa zamani yasitokee tena na kuendelea kudumisha utu mpya. Jibu maswali yafuatayo ili uone mambo unayoweza kuboresha:

  • Je, nimemfungia kinyongo mtu fulani aliyenikosea?

  • Je, ninaonyesha sifa ya subira, hata nikiwa na haraka au nikiwa nimechoka?

  • Mawazo kuhusu ukosefu wa maadili yanapoingia akilini, je, ninayaondoa haraka?

  • Je, nina hisia zisizofaa kuhusu watu wa kabila au taifa lingine?

  • Je, hivi karibuni nimezungumza na mtu yeyote bila fadhili au nimelipuka kwa hasira?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki