Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Novemba uku. 7
  • Yehova Anampenda Mtoaji Mchangamfu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anampenda Mtoaji Mchangamfu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Thamani ya “Sarafu Mbili Ndogo”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • “Jaza Mkono Zawadi kwa Ajili ya Yehova”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Kazi ya Mashahidi wa Yehova Inagharimiwaje?
    Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi Kuhusu Mashahidi wa Yehova
  • Yehova Huwapenda Watoaji Wachangamfu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Novemba uku. 7
Dada akiwa ameshika simu ya kisasa

MAISHA YA MKRISTO

Yehova Anampenda Mtoaji Mchangamfu

Kwenye 2 Wakorintho 9:7, tunasoma hivi: “Kila mmoja na afanye kama alivyoazimia moyoni mwake, si kwa kutopenda wala kwa kulazimishwa, kwa maana Mungu humpenda mtoaji mchangamfu.” Leo kuna njia za kutoa michango kupitia mtandao kwa njia rahisi ili kutegemeza kazi ya Mashahidi wa Yehova katika eneo letu na pia ulimwenguni pote.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA MWONGOZO WA KUTOA MICHANGO KIELEKTRONI, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Tablet na simu zikionyesha jw.org

    Unawezaje kupata ukurasa wa habari kuhusu michango ili kufahamu jinsi ya kutoa michango katika nchi unayoishi?

  • Wenzi wa ndoa wakizungumzia utoaji uliopangwa

    Baadhi ya akina ndugu na dada wamefaidikaje kwa kutoa michango kielektroni?

  • Vitufe vikionyesha mbinu za kutoa michango

    Kuna njia zipi za kutoa michango?

  • Kijana akimsaidia ndugu mwenye umri mkubwa kutoa michango kielektroni

    Tunaweza kufanya nini ikiwa hatuelewi jinsi ya kutumia vifaa hivi vipya vya kielektroni?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki