Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 4
  • Msiwaogope Wanyama wa Mwituni Wenye Kuogopesha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msiwaogope Wanyama wa Mwituni Wenye Kuogopesha
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Kupambana na Hayawani Wawili Wakali Sana
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
  • Kitabu cha Ufunuo Kinamaanisha Nini kwa Maadui wa Mungu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Wale Wanyama wa Kitabu cha Ufunuo—Wana Maana Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Amani, Usalama, na Ile ‘Sanamu ya Mnyama’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | UFUNUO 13-16

Msiwaogope Wanyama wa Mwituni Wenye Kutisha

13:1, 2, 11, 15-17

Kuelewa utambulisho wa wanyama wa mwituni wanaotajwa kwenye Ufunuo sura ya 13 kunatusaidia kutowaogopa au kuwafuata tukiwasifusifu kama wanadamu kwa ujumla wanavyofanya.

PATANISHA KILA MNYAMA WA MWITUNI NA KILE ANACHOWAKILISHA

MNYAMA WA MWITUNI

Joka mwenye vichwa saba

Joka.—Ufu 13:1, maelezo ya chini.

Mnyama wa mwituni mwenye vichwa saba na pembe kumi

Mnyama wa mwituni mwenye vichwa saba na pembe kumi.—Ufu 13:1, 2

Mnyama wa mwituni mwenye pembe mbili

Mnyama wa mwituni mwenye pembe mbili kama mwanakondoo.—Ufu 13:11

Sanamu ya mnyama wa mwituni

Sanamu ya mnyama wa mwituni.—Ufu 13:15

ANACHOWAKILISHA

  • Serikali ya Muungano wa Uingereza na Marekani

  • Ushirika wa Mataifa na muungano uliofuatia wa Umoja wa Mataifa

  • Shetani Ibilisi

  • Serikali zote zinazompinga Mungu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki