Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Desemba uku. 5
  • Vita Vya Mungu Vya Kukomesha Vita Vyote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Vita Vya Mungu Vya Kukomesha Vita Vyote
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Nani Ataongoza Ainabinadamu Kwenye Amani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Amani ya Kweli—Kutoka Chanzo Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Amani Itakuja Wakati Gani Hasa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Jinsi Ambavyo Amani Yaweza Kupatikana Duniani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Desemba uku. 5
Yesu, akiwa na upanga mrefu unaochomoza mdomoni mwake, na jeshi lake la mbinguni wakiwa wamepanda farasi weupe

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | UFUNUO 17-19

Vita Vya Mungu Vya Kukomesha Vita Vyote

19:11, 14-16, 19-21

Unafikiri ni sababu gani iliyomfanya Yehova, “Mungu wa upendo na amani,” amwagize Mwana wake, yule “Mkuu wa Amani,” apigane vita?—2Kor. 13:11; Isa. 9:6.

  • Yehova na Yesu wanapenda haki na kuchukia uovu

  • Amani na haki itapatikana waovu watakapokuwa wameondolewa

  • Majeshi ya Mungu mbinguni “[yana]fanya vita kwa uadilifu,” kama inavyoonyeshwa na farasi weupe na kile kitani bora, cheupe, na safi

Tunaweza kufanya nini ili kuhakikisha kwamba tutaokoka vita hivyo vikuu?—Sef. 2:3

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki