Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 4
  • Matokeo Mabaya ya Uwongo wa Kwanza

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matokeo Mabaya ya Uwongo wa Kwanza
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Wewe Umedanganywa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • “Jina Lako na Litakaswe”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
  • Kweli Kuhusu Kusema Uwongo
    Amkeni!—1997
  • Ufundishaji wa Kimungu Dhidi ya Mafundisho ya Mashetani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 3-5

Matokeo Mabaya ya Uwongo wa Kwanza

3:1-6, 15-19

Picha: 1. Shetani akimtumia nyoka kuzungumza na Hawa. 2. Adamu na Hawa wakiwa wamezeeka na kudhoofika. 3. Vizazi vya wanadamu kuanzia Adamu na Hawa hadi wakati wetu, wakiwakilisha nyakati, jamii na tamaduni mbalimbali.

Shetani amekuwa akiwapotosha watu tangu alipomdanganya Hawa. (Ufu 12:9) Uwongo ufuatao ambao unaendelezwa na Shetani umefanyaje iwe vigumu kwa watu kumkaribia Yehova?

  • Hakuna Mungu Mweza-Yote

  • Mungu ni Utatu usioeleweka

  • Mungu hana jina

  • Mungu huwatesa watu milele katika moto wa mateso

  • Mambo yote yanayotendeka ni mapenzi ya Mungu

  • Mungu hawajali wanadamu

Uwongo huo kumhusu Mungu unakufanya uhisije?

Unaweza kufanya nini ili kufunua uwongo unaoenezwa kuhusu jina la Mungu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki