Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 6
  • Pasaka—Inawahusuje Wakristo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Pasaka—Inawahusuje Wakristo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Ni Nini Maana ya Pasaka?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Pigo la Kumi
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • “Siku Hii Itakuwa Ukumbusho Kwenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Kutoka Sederi Hadi Kwenye Wokovu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 6
Familia ya Waisraeli wakiwa wamesimama huku wakila mlo wa Pasaka kabla ya kuondoka Misri.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 12

Pasaka​—Inawahusuje Wakristo?

12:5-7, 12, 13, 24-27

Ili Waisraeli wasipate madhara ya pigo la kumi, ilikuwa muhimu kwao kutii maagizo. (Kut 12:28) Usiku wa Nisani 14, familia zilipaswa kukusanyika ndani ya nyumba zao. Walipaswa kumchinja mwanakondoo au mbuzi asiye na kasoro mwenye umri wa mwaka mmoja. Damu yake ilipaswa kunyunyizwa kwenye miimo ya mlango na kwenye kizingiti cha juu ya mlango. Walipaswa kuchoma nyama yote na kuila haraka. Hakuna aliyepaswa kutoka nje ya nyumba mpaka asubuhi.—Kut 12:9-11, 22.

Ni katika njia zipi hususa utii unatulinda leo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki