Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 6
  • Siku ya Kufunika Dhambi Inakuhusuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Siku ya Kufunika Dhambi Inakuhusuje?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Kufukiza Uvumba—Je, Kunahitajiwa Katika Ibada ya Kweli?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Mambo ya Walawi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Jinsi ya Kumkaribia “Msikiaji wa Sala”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Madhabahu Katika Hema la Ibada na Fungu Lake Katika Ibada ya Kweli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 6
Kuhani mkuu akiingia ndani ya Patakatifu Zaidi akiwa amebeba uvumba na makaa ya mawe yanayowaka moto.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MAMBO YA WALAWI 16-17

Siku ya Kufunika Dhambi Inakuhusuje?

16:12-15

Tunajifunza nini kutokana matumizi ya uvumba kwenye Siku ya Kufunika Dhambi?

  • Sala zenye kukubalika za watumishi waaminifu wa Yehova ni kama uvumba. (Zb 141:2) Kama tu kuhani alivyomtolea Yehova uvumba kwa heshima kubwa, tunamkaribia Yehova katika sala tukiwa na heshima kubwa

  • Kuhani mkuu alipaswa kuchoma uvumba kabla ya kutoa dhabihu. Vivyo hivyo, kabla ya Yesu kutoa uhai wake kuwa dhabihu, alihitaji kutayarisha njia ili Yehova akubali dhabihu yake kwa kuishi maisha ya utimilifu na ushikamanifu

Picha: 1. Wenzi wa ndoa wakisali baada ya kujitayarisha kwenda utumishi wa shambani. 2. Wenzi hao wa ndoa wakimhubiria dereva wa teksi, akitumia tablet.

Ninaweza kuhakikishaje kwamba dhabihu ninazomtolea Yehova zinakubalika kwake?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki