Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Oktoba uku. 7
  • Madhabahu Katika Hema la Ibada na Fungu Lake Katika Ibada ya Kweli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Madhabahu Katika Hema la Ibada na Fungu Lake Katika Ibada ya Kweli
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Siku ya Kufunika Dhambi Inakuhusuje?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Kufukiza Uvumba—Je, Kunahitajiwa Katika Ibada ya Kweli?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Je, Madhabahu Itumiwe Katika Ibada?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Je, Sala Zako ‘Hutayarishwa Kama Uvumba’?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Oktoba uku. 7
Hema la ibada sehemu za ndani zikiwa zinaonekana. Kando kuna beseni la shaba na madhabahu ya dhabihu ya kuteketezwa.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 37-38

Madhabahu Katika Hema la Ibada na Fungu Lake Katika Ibada ya Kweli

37:25, 29; 38:1

Madhabahu zilizokuwa kwenye hema la ibada zilijengwa kulingana na maagizo ya Yehova na zilikuwa na maana ya pekee.

  • Madhabahu ya kufukiza uvumba.

    Kama kufukiza uvumba uliochanganywa kwa ustadi, sala zinazokubalika zinazotolewa na watumishi wa Yehova zinampendeza

  • Madhabahu ya kufukiza uvumba.

    Yehova alikubali dhabihu zilizotolewa juu ya madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa. Kuwepo kwa madhabahu hiyo mbele ya patakatifu kunatukumbusha kwamba ni muhimu kuwa na imani katika dhabihu ya fidia ya Yesu ili tupate kibali cha Mungu.​—Yoh 3:16-18; Ebr 10:5-10

Tunaweza kutayarishaje sala zetu kama uvumba mbele za Mungu?​—Zb 141:2

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki