Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 8
  • Mwadhimisho wa Miaka 50 na Uhuru wa Wakati Ujao

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mwadhimisho wa Miaka 50 na Uhuru wa Wakati Ujao
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Ameandaa Njia ya Kukuweka Huru
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Mwadhimisho wa Miaka 50
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Yubile ya Yehova—Wakati Wetu Kufurahi Sana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 8

Watumwa Waisraeli wakirudi kwa familia na ardhi yao wakati wa Mwadhimisho wa Miaka 50

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mwadhimisho wa Miaka 50 na Uhuru wa Wakati Ujao

Mwadhimisho wa Miaka 50 uliwasaidia Waisraeli kutokuwa na madeni ya kuendelea na kuwaepusha na umaskini (Law 25:10; it-1 871; ona picha kwenye jalada)

Kuuza ardhi kulikuwa sawa na kuikodisha kulingana na thamani ya mazao ambayo yangevunwa (Law 25:15; it-1 1200 ¶2)

Yehova aliwabariki watu wake walipotii sheria ya Mwadhimisho wa Miaka 50 (Law 25:18-22; it-2 122-123)

Hivi karibuni wanadamu waaminifu watafurahia kikamili manufaa ya Mwadhimisho wa Miaka 50 wa mfano watakapowekwa huru kikamili kutokana na dhambi na kifo.—Ro 8:21.

Picha: Watu wakiisafisha dunia ili iwe paradiso. 1. Kuondoa vifusi. 2. Kujenga nyumba na vijia. 3. Kulima bustani.

Kila mmoja wetu anapaswa kufanya nini ili kupata uhuru ambao Yehova ameahidi?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki