Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 15
  • Unaweza Kuwaigaje Wanadhiri?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaweza Kuwaigaje Wanadhiri?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Fanya Zaidi—Kama Walivyofanya Wanadhiri
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mambo Tunayoweza Kujifunza Kutoka kwa Wanadhiri
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Jeshi Hodari la Yehova la Wapiganaji wa Wakati Wote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Yehova Anabadili Laana Kuwa Baraka
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 15

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Unaweza Kuwaigaje Wanadhiri?

Wanadhiri walijinyima mambo ya kibinafsi (Hes 6:2-4; it-2 477)

Wanadhiri walijitiisha ili kufanya mapenzi ya Yehova (Hes 6:5)

Wanadhiri waliendelea kuwa safi mbele za Yehova (Hes 6:6, 7)

Leo watumishi wa wakati wote wanaonyesha roho ya kujidhabihu na kujitiisha kwa Yehova na mipango yake.

Picha: Ndugu na dada katika utumishi wa wakati wote. 1. Ndugu wawili mapainia wakimhubiria mwanamume aliyeketi juu ya punda. 2. Ndugu na dada wakifanya kazi ya ujenzi.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki