Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 10
  • Sheria za Yehova Ni Zenye Hekima na Haki

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sheria za Yehova Ni Zenye Hekima na Haki
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Kanuni za Kuhukumu kwa Uadilifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Alithamini Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Jinsi Sheria Ilivyothibitisha Yehova Anawajali Maskini
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Msifu Yehova kwa Hekima Yake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 10

HAZINA NA NENO LA MUNGU

Sheria za Yehova Ni Zenye Hekima na Haki

Kutii sheria za Mungu kunaonyesha kwamba tuna hekima na uelewaji (Kum 4:6; it-2 1140 ¶5)

Watu wengi wanaotazama matendo yetu wanatambua hekima ya kufuata sheria ya Mungu (Kum 4:6; w99 11/1 20 ¶6-7)

Watu wa Yehova wanafurahia kufuata viwango vya juu kuliko vya mataifa (Kum 4:7, 8; w07 8/1 29 ¶13)

Watu wengi wanavutiwa na tengenezo la Yehova wanapoona mwenendo mzuri wa wale wanaoishi kupatana na sheria na kanuni za Mungu.

Ndugu akiwa kwenye kigari cha machapisho anamwona mwanamume akiangusha kibeti chake huku mwanamke aliye kwenye mkahawa akitazama.
Ndugu huyo anamrudishia mwanamume kibeti chake huku mwanamke huyo akitazama kutoka mkahawani.

Umepata baraka gani kwa sababu ya kufuata mwongozo wa Yehova wenye hekima?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki