Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 12
  • Wazoeze Watoto Wako Kumpenda Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wazoeze Watoto Wako Kumpenda Yehova
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Dumisha Woga Unaofaa wa Kumkasirisha Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mambo Ambayo Wazazi Wanajifunza Kutoka kwa Manoa na Mke Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Wapinzani Wetu Wanavyojaribu Kutudhoofisha
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Sheria za Yehova Ni Zenye Hekima na Haki
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 12

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Wazoeze Watoto Wako Kumpenda Yehova

Wazazi wanapaswa kusitawisha upendo wao kwa Yehova (Kum 6:5; w05 6/15 20 ¶11)

Wanapaswa kuwawekea watoto wao mfano mzuri (Kum 6:6; w07 5/15 15-16)

Wanapaswa kuwafundisha watoto wao mara nyingi kumhusu Yehova (Kum 6:7; w05 6/15 21 ¶14)

Mbali na wakati wa ibada ya familia, ni pindi zipi nyingine ambazo unaweza kutumia kuwasaidia watoto wako kusitawisha upendo kwa Yehova na kanuni zake?

Baba na mwana wake wakitengeneza tiara. Nyuma yao kuna makala kuhusu ndege kutoka kwenye mfululizo wa makala ‘Je, Ni Kazi ya Ubuni?’
Baba huyo akizungumza na binti yake huku akipaka rangi mti wa mtofaa. Anaelekeza kidole chake kwenye sahani yenye matofaa iliyo mbele yao.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki