Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 12
  • Jinsi Wapinzani Wetu Wanavyojaribu Kutudhoofisha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi Wapinzani Wetu Wanavyojaribu Kutudhoofisha
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Jitihada za Kutoka Moyoni Zinatokeza Baraka Nyingi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Subira ya Yehova Ina Mipaka
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Wazoeze Watoto Wako Kumpenda Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 12
Rabshake na askari mwingine wakiwa wamesimama nje ya kuta za Yerusalemu. Rabshake akitoa ishara kwa kutumia fimbo ya kifalme huku akizungumza.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jinsi Wapinzani Wetu Wanavyojaribu Kutudhoofisha

Wapinzani wetu hujaribu kutuvunja moyo kwa kusema uwongo kuwahusu wale wanaoongoza (2Fa 18:19-21; w05 8/1 11 ¶5)

Wanajaribu kutupotosha kwa kueneza uwongo kumhusu Yehova au tengenezo (2Fa 18:22, 25; w10 7/15 13 ¶3)

Wanajaribu kutushawishi kwa kutupa ahadi zisizo za kweli (2Fa 18:31, 32; w13 11/15 19 ¶14; yb74 177 ¶1)

JIULIZE, ‘Ninaweza kuchukua hatua zipi sasa ili kujiimarisha kwa ajili ya mateso?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki