Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 8
  • Jitihada za Kutoka Moyoni Zinatokeza Baraka Nyingi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jitihada za Kutoka Moyoni Zinatokeza Baraka Nyingi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Yehoashi Alimwacha Yehova kwa Sababu ya Marafiki Wabaya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Jinsi Wapinzani Wetu Wanavyojaribu Kutudhoofisha
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mwanamke Mwovu, Aliyejitakia Makuu Aadhibiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 8
Elisha akiwa karibu kufa akimpa Mfalme Yehoashi maagizo. Yehoashi ameshika mishale minne.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jitihada za Kutoka Moyoni Zinatokeza Baraka Nyingi

Elisha alimwagiza Mfalme Yehoashi achukue hatua fulani iliyoonyesha jinsi ambavyo Israeli lingeshinda Siria (2Fa 13:15-18)

Kwa kuwa Yehoashi hakujitoa kwa moyo wote, alifanikiwa kwa kadiri ndogo (2Fa 13:19; w10 4/15 26 ¶11)

Yehova anawabariki sana watumishi wake wanaomtafuta kwa bidii (Ebr 11:6; w13 11/1 11 ¶5-6)

JIULIZE, ‘Ninafanya nini ili kuonyesha ninajitahidi kutoka moyoni ninaposhughulikia mambo yanayohusu ibada yangu kama vile usomaji wa Biblia, kuhudhuria mikutano, na huduma ya shambani?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki