Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 10
  • Subira ya Yehova Ina Mipaka

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Subira ya Yehova Ina Mipaka
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Alifanya Jambo Lisilotarajiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mwanamke Mwovu, Aliyejitakia Makuu Aadhibiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Dumisha Hisi Yako ya Uharaka
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 10
Yesu akiwa na jeshi lake la mbinguni wakiwa wamepanda farasi weupe wakielekea kuwaangamiza maadui wa Mungu duniani.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Subira ya Yehova Ina Mipaka

Yehova aliruhusu taifa la Ashuru lishinde Israeli (2Fa 17:5, 6; it-2 908 ¶5)

Yehova aliwaadhibu watu wake kwa sababu waliendelea kumkasirisha (2Fa 17:9-12; it-1 414-415)

Yehova aliwaonyesha Waisraeli subira na kuwaonya tena na tena (2Fa 17:13, 14)

Baba yetu wa mbinguni mwenye upendo ana subira nyingi kuelekea wanadamu wasio wakamilifu. (2Pe 3:9) Hata hivyo, ili kutimiza kusudi lake, atawaharibu waovu hivi karibuni. Kwa nini hilo linapaswa kutuchochea kusikiliza tunaporekebishwa na kuhubiri kwa uharaka?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki