Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 4
  • Yehova Alifanya Jambo Lisilotarajiwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Alifanya Jambo Lisilotarajiwa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Mwanamke Mwovu, Aliyejitakia Makuu Aadhibiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Subira ya Yehova Ina Mipaka
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Walio Pamoja Nasi Ni Wengi Kuliko Walio Pamoja Nao
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Dumisha Hisi Yako ya Uharaka
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Alifanya Jambo Lisilotarajiwa

Wakati wa ukame mbaya, Yehova alisema kwamba chakula kitakuwa kingi sana siku iliyofuata (2Fa 7:1; it-1 716-717)

Ofisa Mwisraeli alidhihaki ahadi ya Yehova (2Fa 7:2)

Yehova alifanya jambo lisilotarajiwa (2Fa 7:6, 7, 16-18)

Wenzi wa ndoa Mashahidi wakiwa kwenye mkahawa, wakitazama ripoti ya habari kwenye televisheni ya mkutano wa viongozi wa ulimwengu. Wote mkahawani wanatazama ripoti hiyo kwa makini.

Yehova anasema kwamba mfumo huu utaharibiwa ghafla na bila kutarajiwa. (1Th 5:2, 3) Kwa nini ni muhimu kwetu kuwa na imani katika neno la Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki