Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 10
  • Alithamini Hekima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Alithamini Hekima
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Msifu Yehova kwa Hekima Yake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Ziara Iliyothawabishwa Sana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Sheria za Yehova Ni Zenye Hekima na Haki
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 10
Malkia wa Sheba anampa Mfalme Sulemani zawadi. Mfalme Sulemani anasimama na kumkaribisha. Wanamuziki na walinzi wamesimama chini ya ngazi za kiti cha ufalme cha Sulemani.

Malkia wa Sheba akitembelea makao ya Mfalme Sulemani

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Alithamini Hekima

Malkia wa Sheba alifunga safari ndefu na ngumu ili kumwona Sulemani (2Nya 9:1, 2; w99 11/1 20 ¶4; w99 7/1 30 ¶4-5)

Alipigwa na bumbuazi alipoona hekima na utajiri wa Sulemani (2Nya 9:3, 4; w99 7/1 30-31; ona picha kwenye jalada)

Mambo aliyojionea yalimchochea kumsifu Yehova (2Nya 9:7, 8; it-2 990-991)

Malkia wa Sheba na waandamani wake na msafara wao wa ngamia wakisafari kwenda kumwona Mfalme Sulemani.

Malkia wa Sheba alithamini sana hekima hivi kwamba alikuwa tayari kujidhabihu sana ili kuipata.

JIULIZE, ‘Je, niko tayari kutafuta hekima kama hazina zilizofichika?’—Met 2:1-6.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki