Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 2
  • Msifu Yehova kwa Hekima Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msifu Yehova kwa Hekima Yake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Alithamini Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Ziara Iliyothawabishwa Sana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Thamani ya Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Msifu Yehova kwa Hekima Yake

Yehova alimpa Sulemani hekima nyingi sana (1Fa 10:1-3; w99 7/1 30 ¶6)

Malkia wa Sheba alistaajabishwa na hekima ambayo Yehova alimpa Sulemani (1Fa 10:4, 5; w99 11/1 20 ¶6)

Malkia wa Sheba alimsifu Yehova kwa kumweka Sulemani kuwa mfalme (1Fa 10:6-9; w99 7/1 30-31)

Dada akimhubiria mwanamke kwenye mkahawa.

Kama malkia wa Sheba, tunaweza kuonyesha kwamba tunathamini hekima ya Mungu. Jinsi gani? Njia moja ni kwa kutumia mafundisho ya Yesu maishani mwetu na kufanya yote tuwezayo kuiga mfano wake. (Mt 12:42; 1Pe 2:21) Jambo lingine tunaloweza kufanya ni kuwaeleza wengine kuhusu hekima ya Mungu katika huduma yetu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki