Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 10
  • Thamani ya Hekima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Thamani ya Hekima
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Je, “Hekima ya Kutoka Juu” Inakuongoza Maishani?
    Mkaribie Yehova
  • Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Walijenga kwa Mikono na Mioyo Yao Pia
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Sulemani Atawala kwa Hekima
    Biblia—Ina Ujumbe Gani?
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 10
Sulemani akiamua kesi ya makahaba wawili wanaodai kuwa mama mzazi wa mtoto yuleyule.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Thamani ya Hekima

Sulemani alimwomba Yehova ampe hekima (1Fa 3:7-9; w11 12/15 8 ¶4-6)

Yehova alifurahishwa na ombi la Sulemani (1Fa 3:10-13)

Kwa sababu Sulemani alithamini hekima kutoka kwa Mungu, taifa liliishi kwa usalama (1Fa 4:25)

Mtu mwenye hekima hutumia ujuzi na uelewaji ili kufanya maamuzi mazuri. Hekima ni yenye thamani kubwa kuliko dhahabu. (Met 16:16) Tunaweza kupata hekima kwa kumwomba Mungu, kwa kumwogopa, kwa kuwa wanyenyekevu na wenye kiasi, na kwa kuchimba katika Neno lake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki