Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 14
  • Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Msifu Yehova kwa Hekima Yake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Sulemani Atawala kwa Hekima
    Biblia—Ina Ujumbe Gani?
  • Je, Yeye Ni Mfano Mzuri au Ni Onyo Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Thamani ya Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 14
Sulemani akisali kwenye madhabahu ya hekalu mbele ya watu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu

Hekalu lilipokuwa likiwekwa wakfu, Sulemani alisali kwa Yehova kutoka moyoni mbele ya watu (1Fa 8:22; w09 11/15 9 ¶9-10)

Sulemani alimsifu Yehova na hakujielekezea fikira (1Fa 8:23, 24)

Sulemani alisali kwa unyenyekevu (1Fa 8:27; w99 1/15 17 ¶7-8)

Sulemani ni mfano mzuri, hasa kwa wale wanaosali mbele ya watu. Tunapaswa kufikiria zaidi jinsi Yehova anavyoona maneno yetu kuliko jinsi watu wanavyoyaona.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki