Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 8
  • Yehova Anawatumia Wanawake Wawili Kuwaokoa Watu Wake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anawatumia Wanawake Wawili Kuwaokoa Watu Wake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • “Msioane Nao Kamwe”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Mfano Mzuri wa Kuwazoeza Wengine
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • ‘Nilisimama kama Mama katika Israeli’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Wanawake Hodari Wawili
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 8
Nabii wa kike Debora akiwa ameketi chini ya mtende, akimtia moyo Baraka awasaidie watu wa Mungu.

Debora anamtia moyo Baraka awasaidie watu wa Mungu

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Anawatumia Wanawake Wawili Kuwaokoa Watu Wake

Adui mwenye kuogopesha alikandamiza taifa la Israeli (Amu 4:3; 5:6-8; w15 8/1 13 ¶1)

Yehova alimtumia Debora kuwasaidia watu wake (Amu 4:4-7; 5:7; w15 8/1 13 ¶2; ona picha kwenye jalada)

Yehova alimtumia Yaeli kumuua Sisera (Amu 4:16, 17, 21; w15 8/1 15 ¶2)

Picha: 1. Debora akiwa ameketi chini ya mtende, akimtia moyo Baraka awasaidie watu wa Mungu. 2. Yaeli akiwa na kigingi cha hema na nyundo amkaribia Sisera aliyelala.

Simulizi hili linaonyesha Yehova ana maoni gani kuhusu wanawake

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki