Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 10
  • “Nenda kwa Nguvu Ulizo Nazo”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Nenda kwa Nguvu Ulizo Nazo”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • “Upanga wa Yehova na wa Gideoni!”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Wazee—Jifunzeni Kutokana na Mfano wa Gideoni
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Gideoni na Wanaume Wake 300
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Unyenyekevu Ni Bora Kuliko Kiburi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 10
Gideoni na wanaume wake wakipaza sauti wakiwa wameshika mienge ya moto na pembe.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Nenda kwa Nguvu Ulizo Nazo”

Yehova alimpa Gideoni mgawo mgumu (Amu 6:2-6, 14)

Gideoni alihisi kwamba hakustahili mgawo huo (Amu 6:15; w02 2/15 6-7)

Gideoni alifanikiwa kwa sababu Yehova alimpa nguvu (Amu 7:19-22; w05 7/15 16 ¶3)

Ndugu wawili wakiwa katika huduma ya shambani wakimkaribia mwanamke. Ndugu mmoja ameketi kwenye kiti cha magurudumu yule ndugu mwingine akimsukuma.

Yehova anatarajia tutumie nguvu tulizo nazo kumwabudu. Roho yake takatifu inaweza kujazia upungufu wetu na kutusaidia kufanikiwa.​—Isa 40:30, 31.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki