Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 5
  • Uumbaji Unaimarisha Tumaini Letu Katika Hekima ya Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uumbaji Unaimarisha Tumaini Letu Katika Hekima ya Yehova
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Uwezo wa Nyuki wa Kupaa
    Je, Ni Kazi ya Ubuni?
  • Chungu Wanaepukaje Msongamano Barabarani?
    Je, Ni Kazi ya Ubuni?
  • Jeshi Lasonga Mbele!
    Amkeni!—2003
  • “Mwendee Chungu”
    Amkeni!—1991
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 5
Picha: 1. Chungu wakiwa katika mstari wakiwa wamebeba majani. 2. Nyuki akipaa karibu na ua.

MAISHA YA MKRISTO

Uumbaji Unaimarisha Tumaini Letu Katika Hekima ya Yehova

Je, sikuzote Yehova anajua kinachotufaa? Bila shaka! Ikiwa tunaamini hilo, tunaonyesha tuna hekima tunapofuata mwongozo wake. (Met 16:3, 9) Hata hivyo, mwongozo wake unapotofautiana na kile tunachofikiri, huenda imani yetu katika mwongozo huo ikajaribiwa. Tunaweza kuimarisha tumaini letu katika hekima ya Yehova kwa kutafakari kazi zake za uumbaji.—Met 30:24, 25; Ro 1:20.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA JE, NI KAZI YA UBUNI? CHUNGU WANAEPUKAJE MSONGAMANO BARABARANI? KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Chungu wengi hufanya shughuli gani kila siku?

  • Chungu huepukaje kuwa na msongamano?

  • Ni kanuni gani ambazo wanadamu wanaweza kuiga ili kuepuka msongamano?

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA JE, NI KAZI YA UBUNI? UWEZO WA NYUKI WA KURUKA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Wanadamu hukabili changamoto zipi wanapoendesha ndege ndogo?

  • Nyuki hufauluje kupaa bila matatizo?

  • Siku moja wanadamu wanaweza kunufaikaje kutokana na hekima ya kisilika ya nyuki?

Umejionea uthibitisho gani wa hekima ya Yehova katika uumbaji katika eneo lenu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki