Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 14
  • Mfalme Wako Ni Nani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfalme Wako Ni Nani?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Kutii Ni Bora Kuliko Dhabihu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mbinu ya Vita ya Daudi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Kimbelembele Huongoza Kwenye Aibu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Jitie Nguvu kwa Msaada wa Yehova Mungu Wako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 14
Nabii Samweli akitoa ishara kuelekea mbinguni anapozungumza na Waisraeli fulani.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mfalme Wako Ni Nani?

Kwa kimbelembele Waisraeli waliomba wapewe mfalme wa kibinadamu (1Sa 8:4, 5; it-2 163 ¶1)

Waisraeli hawakuridhika kuwa na Yehova akiwa Mtawala wao asiyeonekana (1Sa 8:7, 8; w11 1/1 27 ¶2)

Yehova aliwaonya kuhusu madhara ya ombi lao (1Sa 8:9, 18; w10 1/15 30 ¶9)

Sikuzote Yehova ameonyesha enzi yake kuu juu ya uumbaji wake wote. Utawala wake ni wenye fadhili na unawaheshimu raia wake wote. Kutii na kuunga mkono utawala wake kutatuletea baraka za milele.

JIULIZE, ‘Ninaonyeshaje katika maisha yangu kwamba ninajitiisha kwa njia ya Yehova ya kutawala?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki