Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 2
  • Kimbelembele Huongoza Kwenye Aibu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kimbelembele Huongoza Kwenye Aibu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Kimbelembele
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Kutii Ni Bora Kuliko Dhabihu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Sauli Alikuwa Mnyenyekevu na Mwenye Kiasi Mwanzoni
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Kimbelembele Hutokeza Aibu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 2
Mfalme Sauli akitoa dhabihu ya kuteketezwa kwa kimbelembele juu ya madhabahu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Kimbelembele Huongoza Kwenye Aibu

Mfalme Sauli alihisi kwamba anakabili hali ngumu (1Sa 13:5-7)

Badala ya kufuata maagizo ya Yehova kwa kiasi, Sauli alitenda kwa kimbelembele (1Sa 13:8, 9; w00 8/1 13 ¶17)

Yehova alimwadhibu Sauli (1Sa 13:13, 14; w07 6/15 27 ¶8)

Mtu hutenda kwa kimbelembele ikiwa kwa sababu ya haraka au upumbavu anafanya jambo ambalo hajaruhusiwa kufanya. Kinyume cha kimbelembele ni kiasi. Ni hali zipi zinazoweza kukushawishi kutenda kwa kimbelembele?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki