Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 5
  • “Upendo . . . Haushangilii Ukosefu wa Uadilifu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Upendo . . . Haushangilii Ukosefu wa Uadilifu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Unawatambulisha Wakristo wa Kweli​—Shangilia Pamoja na Kweli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Wenye Muungamano Chini ya Beramu ya Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • “Wakashikamana na Kuwa Marafiki wa Karibu Sana”
    Igeni Imani Yao
  • Yonathani—“Mwanamume Mmoja Katika Elfu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 5

MAISHA YA MKRISTO

“Upendo . . . Haushangilii Ukosefu wa Uadilifu”

Katika utendaji wao wote, Wakristo wa kweli hujitahidi kuongozwa na upendo. Upendo “haushangilii ukosefu wa uadilifu.” (1Ko 13:4, 6) Hivyo, tunaepuka burudani inayotukuza mambo kama vile ukosefu wa maadili na jeuri. Pia, hatushangilii mambo mabaya yanapowapata watu wengine, hata wale ambao wamewahi kutuumiza.—Met 17:5.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA KUMBUKA JINSI UPENDO ULIVYO​—HAUSHANGILII UKOSEFU WA UADILIFU, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Daudi alitendaje alipogundua kwamba Sauli na Yonathani wamekufa?

  • Daudi alitunga wimbo gani wa maombolezo kwa ajili ya Sauli na Yonathani?

  • Kwa nini Daudi hakushangilia Sauli alipokufa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki