Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 10
  • Usiruhusu Tamaa Mbaya Zikuongoze

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiruhusu Tamaa Mbaya Zikuongoze
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Njia Inayoongoza Kwenye Dhambi na Kifo
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • “Mgeuzwe kwa Kufanya Upya Akili Yenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 10
Daudi akimtazama Bath-sheba kutoka juu ya paa la nyumba yake.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Usiruhusu Tamaa Mbaya Zikuongoze

Daudi aliruhusu tamaa mbaya isitawi moyoni mwake (2Sa 11:2-4; w21.06 17 ¶10)

Daudi alitumia vibaya mamlaka yake kuficha kosa lake (2Sa 11:5, 14, 15; w19.09 17 ¶15)

Daudi alipata matokeo mabaya kwa sababu ya dhambi yake (2Sa 12:9-12; w18.06 17 ¶7)

Tunahitaji kujitia nidhamu ili kuepuka kutazama au kufikiria mambo yasiyofaa. (Ga 5:16, 22, 23) Yehova anaweza kutusaidia tusiruhusu tamaa mbaya zisitawi moyoni mwetu.

JIULIZE, ‘Ninahitaji kudhibiti fikira zangu kwa njia nzuri zaidi kuhusu mambo gani maishani?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki