Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 2
  • Barzilai—Mfano Bora wa Mtu Mwenye Kiasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Barzilai—Mfano Bora wa Mtu Mwenye Kiasi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Barzilai—Mtu Aliyetambua Udhaifu Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Enyi Wakristo Wenye Umri Mkubwa​—Yehova Anathamini Sana Ushikamanifu Wenu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Unaweza Kudumisha Sifa ya Kiasi Unapojaribiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Kiasi cha Kikristo Ni Uthibitisho wa Hekima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 2
Barzilai akikataa fursa ambayo Mfalme Daudi anampa.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Barzilai​—Mfano Bora wa Mtu Mwenye Kiasi

Mfalme Daudi alimpa Barzilai fursa ya pekee (2Sa 19:32, 33; w07 7/15 14 ¶5)

Kwa sababu Barzilai alikuwa mwenye kiasi, alikataa fursa hiyo kwa heshima (2Sa 19:34, 35; w07 7/15 14 ¶7)

Uwe mwenye kiasi kama Barzilai (w07 7/15 15 ¶1-2)

Sifa ya kiasi hutusaidia kutambua mambo tunayoweza kufanya na mambo tusiyoweza kufanya. Tunahitaji kuwa wenye kiasi ili tumpendeze Yehova. (Mik 6:8) Tunanufaikaje tunapoonyesha sifa hiyo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki