Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 8
  • Je, Unajifunza Kutokana na Makosa Yako?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Unajifunza Kutokana na Makosa Yako?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Ninaweza Kurekebishaje Makosa Yangu?
    Majibu Ya Maswali 10 Ambayo Vijana Huuliza
  • Nifanye Nini Ninapokosea?
    Vijana Huuliza
  • Iga Jinsi Yehova Anavyotumia Mamlaka Yake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Kwa Nini Ukubali Kosa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 8
Dada akisoma Biblia na kutafakari jinsi Adoniya alivyotenda. Picha: 1. Adoniya akishika pembe za madhabahu. 2. Adoniya akimsihi Bath-sheba.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Unajifunza Kutokana na Makosa Yako?

[Onyesha video ya Utangulizi wa 1 Wafalme.]

Adoniya alionyeshwa rehema baada ya kupanga njama ya kunyakua ufalme (1Fa 1:5, 52, 53; it-2 987 ¶4)

Adoniya hakujifunza kutokana na makosa yake na alipatwa na matokeo mabaya (1Fa 2:15-17, 22, 23; it-1 49)

Mtu mwenye hekima hujifunza kutokana na makosa yake. Hata hivyo, ni bora zaidi kujifunza kutokana na makosa ya wengine.​—1Ko 10:11.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki