Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 11
  • Iga Jinsi Yehova Anavyotumia Mamlaka Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Iga Jinsi Yehova Anavyotumia Mamlaka Yake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Sheria Ilivyothibitisha Yehova Anawajali Maskini
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Alitumia Mamlaka Yake Bila Ubinafsi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Kanuni za Kuhukumu kwa Uadilifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Walijenga kwa Mikono na Mioyo Yao Pia
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 11

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Iga Jinsi Yehova Anavyotumia Mamlaka Yake

Yehova ndiye mwenye mamlaka kuu (1Fa 22:19; it-2 21)

Yehova anawaheshimu wale wanaojitiisha kwake (1Fa 22:20-22; w21.02 4 ¶9)

Yehova alibariki kazi ya malaika fulani (1Fa 22:23; it-2 245)

Baba akiongoza ibada ya familia pamoja na mke wake na binti yake. Anatabasamu wakati ambapo binti yake anajieleza kwa uchangamfu.

Wazee na vichwa vya familia hasa ndio wanaopaswa kuiga njia ya Yehova ya kutumia mamlaka. (Efe 6:4; 1Pe 3:7; 5:2, 3) Wanapofanya hivyo, wale walio chini ya mamlaka yao watakuwa na furaha na wataridhika.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki