Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 6
  • Alitumia Mamlaka Yake Bila Ubinafsi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Alitumia Mamlaka Yake Bila Ubinafsi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Wasaidie Wengine Wafikie Uwezo Wao Kamili
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Esta
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Iga Jinsi Yehova Anavyotumia Mamlaka Yake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Jinsi Sheria Ilivyothibitisha Yehova Anawajali Maskini
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Alitumia Mamlaka Yake Bila Ubinafsi

Mordekai alipata cheo kilicho na mamlaka kubwa (Est 9:4; it-2 432 ¶2)

Alianzisha mwadhimisho wa kila mwaka wa kumsifu Yehova (Est 9:​20-22, 26-28; it-2 716 ¶5)

Aliwasaidia watu wote wa Mungu (Est 10:3)

Mzee mwenye umri mdogo anamtegemeza dada mwenye umri mkubwa kwa mkono wake wakiwa katika huduma ya shambani pamoja.

Leo, wale walio na mamlaka fulani katika tengenezo la Yehova wanafanya yote wawezayo kuiga mfano wa Mordekai.—cl 101-102 ¶12-13.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki