Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 8
  • Asa Alitenda kwa Ujasiri—Namna Gani Wewe?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Asa Alitenda kwa Ujasiri—Namna Gani Wewe?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • “Kuna Thawabu kwa Ajili ya Kazi Yenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Tenda kwa Hekima Katika Kipindi Chenye Amani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
  • Mtumikie Yehova kwa Moyo Kamili!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Jinsi Yehova Anavyotukaribia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 8

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Asa Alitenda kwa Ujasiri​—Namna Gani Wewe?

Asa alitetea ibada ya kweli kwa bidii (1Fa 15:11, 12; w12 8/15 8 ¶4)

Kwa ujasiri, Asa alitanguliza ibada yake mbele ya uhusiano wa familia (1Fa 15:13; w17.03 19 ¶7)

Asa alikuwa na sifa nyingi nzuri licha ya makosa aliyofanya (1Fa 15:14, 23; it-1 184-185)

Mwana akiondoka nyumbani akiwa na mfuko. Baba anamkumbatia mke wake na binti yake wanaolia.

JIULIZE: ‘Je, mimi nina bidii kwa ajili ya ibada safi? Je, ninaacha kushirikiana na mtu yeyote, hata ikiwa ni mshiriki wa familia, anayemwacha Yehova?’​—2Yo 9, 10.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki