Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 10
  • Mtegemee Yehova Upate Faraja

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mtegemee Yehova Upate Faraja
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • “Mtaendelea Kuyumbayumba Kati ya Maoni Mawili Tofauti Mpaka Wakati Gani?”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Mfano Unaofaa wa Mawasiliano Mazuri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • B8 Hekalu Lililojengwa na Sulemani
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 10

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mtegemee Yehova Upate Faraja

Eliya aliogopa hivyo akakimbia ili kuokoa uhai wake (1Fa 19:3, 4; w19.06 15 ¶5)

Yehova alimpa msaada na kumwonyesha nguvu zake kwa njia zenye kustaajabisha (1Fa 19:5-7, 11, 12; ia 103 ¶13; 106 ¶21)

Yehova alimpa kazi ya kufanya (1Fa 19:15-18; ia 106 ¶22)

Ndugu aliyefungwa gerezani akimhubiria mlinzi.

Yehova anazungumza nasi leo kupitia Neno lake, naye anatukumbusha kwamba anatujali sana na kwamba anatupatia kazi muhimu ya kufanya katika utumishi wake.​—1Ko 15:58; Kol 3:23.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki