Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 9
  • “Mtaendelea Kuyumbayumba Kati ya Maoni Mawili Tofauti Mpaka Wakati Gani?”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mtaendelea Kuyumbayumba Kati ya Maoni Mawili Tofauti Mpaka Wakati Gani?”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Mtegemee Yehova Upate Faraja
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • B8 Hekalu Lililojengwa na Sulemani
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Mfano Unaofaa wa Mawasiliano Mazuri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Alitetea Ibada Safi
    Igeni Imani Yao
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 9
Eliya, manabii wa Baali, na watu wengine wakitazama moto kutoka mbinguni ukiteketeza dhabihu kwenye madhabahu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Mtaendelea Kuyumbayumba Kati ya Maoni Mawili Tofauti Mpaka Wakati Gani?”

Eliya aliwaambia Waisraeli kwamba walipaswa kufanya uamuzi (1Fa 18:21; w17.03 14 ¶6)

Baali hakuwa mungu halisi (1Fa 18:25-29; ia 88 ¶15)

Yehova alithibitisha kwamba yeye ni Mungu kwa njia yenye kustaajabisha (1Fa 18:36-38; ia 90 ¶18)

Eliya aliwaambia watu wathibitishe kwamba wana imani kwa kutii Sheria ya Yehova. (Kum 13:5-10; 1Fa 18:40) Leo, tunathibitisha kwamba tuna imani na ujitoaji-kimungu kwa kutii amri za Yehova kikamili.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki