Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 5
  • Alitenda kwa Ujasiri, Udumifu, na kwa Bidii

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Alitenda kwa Ujasiri, Udumifu, na kwa Bidii
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Yehu Atetea Ibada Safi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Malkia Mwovu Aadhibiwa
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • “Nyumba Yote ya Ahabu Itaangamia”—2Fa 9:8
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Endelea Kutafuta Mwongozo wa Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 5
Yehu akiwa kwenye gari lake, akimwambia ofisa wa makao ya mfalme amtupe Yezebeli kutoka kwenye dirisha lake la orofa ya juu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Alitenda kwa Ujasiri, Udumifu, na kwa Bidii

Yehova alimpa Yehu kazi ya kuangamiza nyumba ya Mfalme Ahabu mwovu (2Fa 9:6, 7; w11 11/15 3 ¶2)

Yehu alitenda upesi na kumuua Mfalme Yehoramu (mwana wa Ahabu) na Malkia Yezebeli (mjane wa Ahabu) (2Fa 9:22-24, 30-33; w11 11/15 4 ¶2-3; ona chati “‘Nyumba Yote ya Ahabu Itaangamia’​—2Fa 9:8”)

Yehu alikamilisha mgawo wake, kwa ujasiri, udumifu, na bidii (2Fa 10:17; w11 11/15 5 ¶3-4)

JIULIZE, ‘Ninaweza kumwigaje Yehu ninapotimiza utume ulio kwenye Mathayo 28:19, 20?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki