Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 13
  • Dumisha Shangwe Yako Licha ya Hali Zinazovunja Moyo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dumisha Shangwe Yako Licha ya Hali Zinazovunja Moyo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Imarisha Tamaa Yako ya Kufanya Mapenzi ya Mungu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Wasaidie Vijana Wafanikiwe
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Je, Unaona Ni Kujishushia Heshima Kufanya Kazi za Mikono?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 13

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Dumisha Shangwe Yako Licha ya Hali Zinazovunja Moyo

Daudi alitamani kumjengea Yehova hekalu linalovutia (1Nya 17:1, 2; w06 7/15 19 ¶1)

Yehova alimwambia Daudi kwamba si yeye atakayemjengea hekalu (1Nya 17:4)

Daudi aliendelea kufanya kwa bidii kazi ambayo Yehova alikuwa amempa (1Nya 17:7; 18:14)

Picha: 1. Ndugu ambaye amevunjika moyo ameketi kwenye kiti cha magurudumu na anapumua kwa msaada wa kifaa chenye oksijeni. 2. Ndugu huyo anafurahi sana anapomhubiria mwanamume ambaye amekuja kwenye kigari.

Ikiwa huwezi kufikia migawo fulani kwa sababu ya umri, afya, au mambo mengine, kazia fikira mambo ambayo unaweza kufanya kwa sasa.​—Mdo 18:5; w21.08 22-23 ¶11.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki