Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 2
  • Ibada Hekaluni Inapangwa kwa Utaratibu Mzuri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ibada Hekaluni Inapangwa kwa Utaratibu Mzuri
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Utumishi wa Walawi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Kanuni za Kuhukumu kwa Uadilifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Sheria Ilivyothibitisha Yehova Anawajali Maskini
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Masomo Tunayojifunza Kutokana na Kambi ya Israeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Ibada Hekaluni Inapangwa kwa Utaratibu Mzuri

Mfalme Daudi aliwapanga Walawi na makuhani kwa ajili ya kazi hekaluni (1Nya 23:6, 27, 28; 24:1, 3; it-2 241, 686)

Wanamuziki wenye ustadi na wanafunzi walipangwa katika vikundi kwa ajili ya utumishi huo (1Nya 25:1, 8; it-2 451-452)

Walawi walipewa migawo ya kutumikia wakiwa walinzi wa malango, watunza hazina, na maofisa wengine (1Nya 26:16-20; it-1 898)

Ndugu na dada kabla ya mkutano wa kutaniko kuanza. 1. Wanasalimiana na kuzungumza. 2. Ndugu akimwonyesha dada jambo fulani kwenye ubao wa matangazo. 3. Dada akiweka mchango kwenye sanduku la michango. 4. Ndugu aliye kwenye meza ya machapisho akimpa dada machapisho. 5. Ndugu akitayarisha kikuza-sauti jukwaani. 6. Ndugu na mtoto wake wakifanya usafi.

Ibada iliyopangwa kwa utaratibu huonyesha utu wa Yehova.​—1Ko 14:33.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Kutaniko limepangwaje vizuri kwa ajili ya ibada leo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki