Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi kur. 8-9
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia ya Ukumbusho wa 2023

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia ya Ukumbusho wa 2023
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • JUMATANO, MACHI 29
  • ALHAMISI, MACHI 30
  • IJUMAA, MACHI 31
  • JUMAMOSI, APRILI 1
  • JUMAPILI, APRILI 2
  • JUMATATU, APRILI 3
  • JUMANNE, APRILI 4
  • UKUMBUSHO (BAADA YA JUA KUTUA)
  • JUMATANO, APRILI 5
  • ALHAMISI, APRILI 6
  • IJUMAA, APRILI 7
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia wa Ukumbusho wa 2022
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia wa Ukumbusho wa 2025
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
  • Ratiba ya Usomaji wa Biblia wa Ukumbusho wa 2024
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
  • B12-B Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 2)
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi kur. 8-9
Yesu akiwa amebeba mti wa mateso.

Ratiba Ya Usomaji Wa Biblia Ya Ukumbusho Wa 2023

JUMATANO, MACHI 29

MACHEO

MACHWEO (Nisani 8 inaanza)

ALHAMISI, MACHI 30

Maria akimimina mafuta yenye marashi kwenye kichwa cha Yesu akiwa mezani.

MACHEO

MACHWEO (Nisani 9 inaanza)

Yesu—Njia, sura ya 101

IJUMAA, MACHI 31

Yesu akiwa amepanda mwanapunda huku umati wa watu wenye shangwe wakitandika mavazi yao na matawi ya mitende barabarani.

MACHEO

Yesu—Njia, sura ya 102

MACHWEO (Nisani 10 inaanza)

JUMAMOSI, APRILI 1

Yesu akipindua meza za wale waliobadili pesa hekaluni.

MACHEO

Yesu—Njia, sura ya 103-104

MACHWEO (Nisani 11 inaanza)

JUMAPILI, APRILI 2

Yesu na mitume wake wakimtazama mjane maskini anayetumbukiza sarafu mbili ndogo kwenye sanduku la hazina hekaluni.

MACHEO

Yesu—Njia, sura ya 105-114

MACHWEO (Nisani 12 inaanza)

JUMATATU, APRILI 3

Yuda Iskariote akipanga njama pamoja na viongozi wa kidini. Sarafu za fedha zikiwa zimetapakaa chini.

MACHEO

Yesu—Njia, sura ya 115

MACHWEO (Nisani 13 inaanza)

JUMANNE, APRILI 4

UKUMBUSHO (BAADA YA JUA KUTUA)

Yesu na mitume wake waaminifu wakiwa wameketi mezani wakati wa Mlo wa Jioni wa Bwana.

MACHEO

MACHWEO (Nisani 14 inaanza)

Yesu—Njia, sura ya 116-126

JUMATANO, APRILI 5

Yesu akiwa kwenye mti wa mateso kando ya mhalifu.

MACHEO

Yesu—Njia, sura ya 127-133

MACHWEO (Nisani 15 inaanza)

ALHAMISI, APRILI 6

Viongozi wa kidini wakitoa ombi mbele ya Pontio Pilato.

MACHEO

MACHWEO (Nisani 16 inaanza)

IJUMAA, APRILI 7

Wanawake watatu wakichungulia ndani ya kaburi la Yesu ambalo ni tupu.

MACHEO

Yesu—Njia, sura ya 134-135

MACHWEO (Nisani 17 inaanza)

Ramani ya Yerusalemu na maeneo yanayozunguka. Maeneo yanayojulikana kwa uhakika yalipokuwa na maeneo yasiyojulikana kwa uhakika yalipokuwa, yote yametajwa. 1. Hekalu. 2. Bustani ya Gethsemane. 3. Jumba la Gavana. 4. Nyumba ya Kayafa. 5. Jumba lililotumiwa na Herode Antipa. 6. Bwawa la Bethzatha. 7. Dimbwi la Siloamu. 8. Ukumbi wa Sanhedrini. 9. Golgotha. 10. Akeldama.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki