Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Machi uku. 12
  • Nufaika Kutokana na Ushauri Wenye Hekima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Nufaika Kutokana na Ushauri Wenye Hekima
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Angeweza Kuwa na Kibali cha Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Kwa Nini Tunahitaji Kutafuta Ushauri?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • “Moyo Wangu Utakuwa Humo Sikuzote”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Mfalme Sulemani Anafanya Uamuzi Usio wa Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Machi uku. 12

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Nufaika Kutokana na Ushauri Wenye Hekima

Rehoboamu alihitaji kufanya uamuzi (2Nya 10:1-4; w18.06 13 ¶3)

Rehoboamu alitafuta ushauri (2Nya 10:6-11; w01 9/1 28-29)

Rehoboamu na raia wake waliumia kwa sababu alikataa ushauri wenye hekima (2Nya 10:12-16; it-2 768 ¶1)

Dada kijana anamsikiliza kwa makini dada mwenye umri mkubwa wakiwa kwenye mkahawa.

Kwa sababu ya uzoefu wao, mara nyingi Wakristo wenye umri mkubwa na wakomavu kiroho wanaweza kutambua matokeo ya uamuzi fulani.—Ayu 12:12.

JIULIZE, ‘Ninaweza kupata ushauri mzuri kutoka kwa nani kutanikoni?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki